Header Ads

Tetesi: jezi watakazotumia yanga msimu wa 2017/2018

Kwa taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii imeonesha jezi zinazotajwa kuwa ndio jezi mpya zitakazotumiwa na Yanga msimu wa 2017/2018, jezi hizo bado hazijathibitishwa wala kutambulishwa rasmi na uongozi wa Yanga lakini kuna tetesi kuwa ndio zitatumiwa msimu wa 2017/2018.

No comments