Header Ads

Wanafunzi 20 wahofiwa kufa katika ajali ya basi Karatu

Wanafunzi zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya basi iliyotokea wilayani Karatu leo asubuhi.
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa basi hilo lilikuwa likitokea Arusha Mjini kuelekea katika Mbuga za wanyama.
Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Therezia Mahongo amethibitisha tukio hilo.
Tutaendelea kukujuza zaidi kuhusu taarifa hii.

Chanzo: Mwananchi

No comments