Header Ads

UTEUZI

Rais Dkt.John Pombe Magufuli amemteua Prof. Egid Beatus Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

Prof.Egid Beatus Mubofu aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw.Joseph Masikitiko ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

No comments